Baadhi ya wachezaji wa timu ya Kilimedia f.c wakiwa katika uzi muda mchache baada ya kukabidhiwa jana ,uzi huo umetolewa na mdau wa michezo mkoa wa Kilimanjaro Fraji Swai ambaye pia ni mkurugenzi wa Kilimanjaro Aids Contral Association.kutoka shoto ni Rodrick Mushi(Tz daima),Nakajumo James(Mtanzania)Dixon Busagaga(Radio Moshi fm) Kijah Elias (Star tv) na Zephania Endrew (RFA)
Sasa kaianzeni kazi .....Kaimu mwenyekiti wa baraza la wazee manispaa ya Moshi ,Abdalah Kimweri akimkabidhi katibu wa muda wa Kilimedia f.c NAKAJUMO JAMES.Vifaa vya michezo vyenye thamani ya kiasi cha shilingi M 1.Shoto ni mkurugenzi wa KACA ,FARAJI SWAI ambao ndio watoaji wa vifaa hivyo.